Shakhtar Donesk (ukraine) wamesulu na sevilla (spain) kwa magoli mawili kwa mawili na kujiweka katika nafasi mbaya ya kusonga mbele kwa hatua ya fainali pale Arena Lviv. Kwa matokeo hayo basi shakhtar donesk wanahitaji ushindi wowote nchini spain alhamisi ijayo ili wafuzu kwenda fainali au suluhu ya magoli kuanzia matatu ili wakate tiketi ya fainali
Majogoo wa Jiji liverpool washindwa kutamba Huko spain baada ya kukubali kipigo cha Goli moja toka kwa villareal ya spain katika Nusu fainali ya Kwanza huko nchini spain. Iliwachukua Villareal dakika 91 kupata goli la ushindi lililopachikwa kimiani na Lopez Adrian pale stadium el madrigal na kujiwekea mazingira mazuri kwenye mchezo wa pili utakaopigwa Anfield Alhamisi ijayo.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni