Mashindano ya vilabu Huko ulaya yataendelea tena leo usiku. Villarreal watawakaribisha majogoo wa jiji Liverpool katika nusu fainali huko estadio el Madrigal jijin valencia wakati wahispania weingine sevilla watakuwa nchini ukraine kupambana na shaktar donesk katika nusu fanaili ya kwanza.. Sevilla anasaka ubingwa wa tatu mfululizo wakati Liverpool wakijaribu na kujipambanua kusaka Ubingwa huo baada ya ukame wa mataji kwa Muda mrefu

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni