Siku moja baada ya kocha mkuu wa Dar es salaam young Africa kujiuzulu leo hii likizo hicho kimeondoka na ushindi wa goli nne kwa bila dhidi ya JKT RUVU maafande hawa toka mkoani pwanii. Shukrani zimwendee obrey chirwa aliendelea kuzifumania nyavu pia supersub amisi tambwe akiingia kipindi cha Pili akifunga magoli mawili na saimon msuva akafunga moja.Kwa mchezo huyo simba wanaongoza kwa pointi 29 yanga wanafuatia kwa point 24..

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni